Kuchagua mke

Lolipop

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2013
Posts
349
Reaction score
81
Chakula chochote chaweza kuliwa, lakini chakula kingine ni bora kuliko kingine.

Mwanamke aweza kuolewa na yeyote, lakini msichana 1 ni bora kuliko mwingine.

Uzuri wa m/mke hufurahisha uso na kushinda kila kitu anachotamani mwanaume.

Kama m/mke ni mwema na mwenye adabu anapoongea, mumewe ana bahati kuliko wengine wote.

M/ume akipata mke amepata ubora mkubwa mno, amejipatia msaidizi bora na nguzo ya msaada.

Mali isiyolindwa kwa ukuta itaporwa tuu, ni pasipo mke, m/ume atatangatanga na kusononeka.

Nani atakayemwamini m/ume asiye na kwake ambaye ana malazi popote usiku unapomkuta.

Kikupasacho mume, chagua mke 1 heshimianeni na mtunze ndoa yenu.
 
Mafundisho ya ndoa...safi sana umenyofoa kwenye kitabu gani cha bible?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…