UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 566
Alama za uandishiHbr Zenu Jf.Leo Kuna Baridi Kali Sana.Jamani Kuna Baadhi Ya Watu Wanapenda Kujipendekeza Kwa Watu Wenye Pesa Ili Wasifiwe Hata Ndugu Saa Nyingine Huchafuana Kwa Mwanandugu Mwenye Uwezo Ili Wao Wawe Juu Hata Kwa Waganga Huenda Ili Kuharibu Hali Ya Hewa Tatizo Ni Nini Kuna Watu Wenye Miroho Mibaya Tatizo Nini? Karibuni [HASHTAG]#mshana[/HASHTAG] Usikose Kukomenti Jambo.
Aiseee hata wanaume baadhi yao wambea sana, hapa kwetu wanawake tuko wawili tu katika wafanyakazi kama mia na kitu lkn yule mwenzang sijawahi msikia ananisema ila wanaume sasa akija ofisini anataka kitu ukimwambia nipe muda nna kazi tayari keshaweka bifu na ww, ukifatwa na mpenzi wako kazini maneno hawana dogo kabisaa, kwa hyo sio wanawake tu hata wanaume nao piaSio Kama nawanyanyapaa wanawake wakishajaa kwenye offisi moja alafu Kila mmoja anapenda slope aka kitonga inabidi ufunge mkanda kweli kweli. Wanapenda vimaneno maneno majungu majungu na uchonganishi usipoangalia inaweza kula kwako hasa likiwepo dume ambalo alijitambui likawa ndio pika majungu kuu.