Kuch kuch Hota Hai imeniponza!

baloz89

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
1,228
Reaction score
1,815
Juz nilijifanya Shah khur khan kweny gofu fulan,nikateleza,mkono una P.O.P now,jmn dnt try everyting ni hatar,nimekoma.
 
baloz kwenye magofu itakuwaje sasa kwa wanamtaa wako
 
ni pagala fulan la kikolon,ktk kucheza kama jamaa nikateleza,ajal kazn ila imetosha kujarbu v2 vya videon
 
mkuu bujibuji haya malove hayana umr,2likua 2najikumbusha enzi,ni ajal kazin mkuu
 
Shenzi,
Ungekatwa kabisa huo mkono...kwanini unazini? Unavunja amri ya mungu....
 
mkuu ni yf wang,ni outing ilikua na c kuwa 2likua 2nazin,ila kukimbizana humo mweny pagala
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…