Kublock XXX

Kublock XXX

wazirib28

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Posts
460
Reaction score
275
Habarini ndugu jamaa na marafiki. Mimi nimeamua kuachana kabisa na XXX. Lakini kuna zingine huja bila kukusudia kwamfano ktk mitandao ya kijamii. Hivyo naomba mwenye uelewa wa jinsi ya kublock hizo vitu sizihitaji kabisa. Au kama kuna app ya kufanya hivyo naomba tujuzane hapa.
 
unablock ad kwenye android au pc. ka simu unatakiwa uwe na ad blocker au patcher ya simu. na pc hivyo hvyo. for more dm
 
Aisee mkuu, jinsi ya kublock hizo picha ni lazima uache kutumia smart phone, tumia simu ya tochi, sababu tochi haina mambo mengi, lakini smart phone. hasaa ukiingia instagram ndo usiseme, kama kweli unania ya kuacha hizo vitu, you just stop using smart phone for your own risk............
 
Achana na internet kabisa mkuu, ikibidi tumia simu za vitochi tu, ofisini unatumia email za outlook basi.
Internet inanisaidia vitu vingi. Kuiacha ni vigumu sana. Yaan ni bora kuona porn lkn internet nikaendelea kutumia kuliko kuacha internet ili nisione porn. Ninahitaji kama kuna mbadala maana najua duniani hakishindikani kitu...tatizo ni access tu .
 
Hapo sasa inabidi akili tu itumike, kwamba ukiona usiendelee kuangalia na chukulia kawaida tu.

Ukiiambia akili ifanye hivyo utafanikiwa.
 
Haiwezekani kuviblock....we set your mind tu...ukiviona usiwehuke...vipotezee...
 
Habarini ndugu jamaa na marafiki. Mimi nimeamua kuachana kabisa na XXX. Lakini kuna zingine huja bila kukusudia kwamfano ktk mitandao ya kijamii. Hivyo naomba mwenye uelewa wa jinsi ya kublock hizo vitu sizihitaji kabisa. Au kama kuna app ya kufanya hivyo naomba tujuzane hapa.
kuna browsers kama opera for pc inablock advertisements 100%.. pia una weza ukablock access to certain websites ambazo utaziorodhesha kwa URL zake.... ila kitu kingine keep your mind busy.. ucwe idle maana idle mind inapelekea evil thoughts...
 
Nenda Google play store pakua app inaitwa "parental flux" alafu fuata maelekezo hapo hautapata tena porn
 
Internet inanisaidia vitu vingi. Kuiacha ni vigumu sana. Yaan ni bora kuona porn lkn internet nikaendelea kutumia kuliko kuacha internet ili nisione porn. Ninahitaji kama kuna mbadala maana najua duniani hakishindikani kitu...tatizo ni access tu .
basis mkuu Fanya kitu kimoja cha muhimu ili uache hiyo mambo na uendelee kutumia internent;

-Kama uli like zile page za kimapenzi, na mahusiano au zile site za kimapenzi has za x jaribu Ku unlike coz Mara nyingi sana vitu hivi huja iwapo ume vi like yani umevichagua, au , au kam kwenye instagram ume follow watu walioanzisha page za Xx jaribu Ku unfollow hizo pages

kwenye Facebook kama kuna MTU ameku tag picha za XX kuna option ya kuchagua kama hizo picha zitokeee kwenye timeline yako, jaribu kukataa kama picha hizo ni mbaya au XX, kataza watu wasiku tag picha mbaya

-jaribu kuu repot watu waote wanaoku tag picha mbaya then kuna page nyingi za kisiasa, kimichezo au hata page za kisayansi, pia hata jamii forum jaribu kulike aua kijiunga na page hizo zitaku keep busy sana na hautakuwa na mda wa kucheki hizo XX, by instagram ndo shida yani kina watu wapo special kwa page za XX yan...

!
 
Habarini ndugu jamaa na marafiki. Mimi nimeamua kuachana kabisa na XXX. Lakini kuna zingine huja bila kukusudia kwamfano ktk mitandao ya kijamii. Hivyo naomba mwenye uelewa wa jinsi ya kublock hizo vitu sizihitaji kabisa. Au kama kuna app ya kufanya hivyo naomba tujuzane hapa.
Root your device and install one of these apps
1.ad away
2.ad blocker
3.lucky patcher
 
Shukrani sana kwa mlionipa ushauri wa kujenga na kunielekeza mambo ya kufanya.... nimefuata maelekezo yenu... hatimaye sasa nafurahia internet bila XXX. Nawashukuruni sana Mungu awabariki
 
Back
Top Bottom