G guest-1787677877 Guest Nov 3, 2024 #61 Edsheraan said: Nina miaka mi5 Niko kwenye gemu mwaka huu Hali imekuwa ngumu zaidi Click to expand... Aiseeeee una experience ya zaidi ya miaka 5 kwenye kazi yako ya Afisa Ubashiri๐๐๐
Edsheraan said: Nina miaka mi5 Niko kwenye gemu mwaka huu Hali imekuwa ngumu zaidi Click to expand... Aiseeeee una experience ya zaidi ya miaka 5 kwenye kazi yako ya Afisa Ubashiri๐๐๐
Edsheraan JF-Expert Member Joined Oct 22, 2024 Posts 726 Reaction score 1,239 Nov 3, 2024 Thread starter #62 Muuza madafu wa Ikulu said: Kama hujawahi kulima usijaribu kuingia kwa pupa. Huku utalia kilio cha mbwa koko. Click to expand... Uko sahihi
Muuza madafu wa Ikulu said: Kama hujawahi kulima usijaribu kuingia kwa pupa. Huku utalia kilio cha mbwa koko. Click to expand... Uko sahihi
Edsheraan JF-Expert Member Joined Oct 22, 2024 Posts 726 Reaction score 1,239 Nov 3, 2024 Thread starter #63 Muuza madafu wa Ikulu said: Aiseeeee una experience ya zaidi ya miaka 5 kwenye kazi yako ya Afisa Ubashiri๐๐๐ Click to expand... Ni mzoefu katika hii kazi ๐๐
Muuza madafu wa Ikulu said: Aiseeeee una experience ya zaidi ya miaka 5 kwenye kazi yako ya Afisa Ubashiri๐๐๐ Click to expand... Ni mzoefu katika hii kazi ๐๐
covid 19 JF-Expert Member Joined May 9, 2014 Posts 8,162 Reaction score 20,365 Nov 3, 2024 #64 mr pipa said: labda nikutengenezee mkeka hela hy nilipanga yote nikawasaidie yatima na wagonjwa pamoja na wafungwa so naenda kuwapa hela yote sitaki nibak hata na mia mana kama kula beting nimekula vya kutosha na nimeliwa vya kutosha Click to expand... nasubiri mkeka boss umefikia wapi! sijawahi kubti ila
mr pipa said: labda nikutengenezee mkeka hela hy nilipanga yote nikawasaidie yatima na wagonjwa pamoja na wafungwa so naenda kuwapa hela yote sitaki nibak hata na mia mana kama kula beting nimekula vya kutosha na nimeliwa vya kutosha Click to expand... nasubiri mkeka boss umefikia wapi! sijawahi kubti ila
De lone survivor Member Joined May 7, 2024 Posts 95 Reaction score 25 Nov 3, 2024 #65 Rich John said: Ndo ufanye kama njia yakipato au starehe kupunwa kuko pale pale ๐ Click to expand... Kwako hilo ndio Lina kuumiza ila kwangu kuliwa na kukula ni part entertainment
Rich John said: Ndo ufanye kama njia yakipato au starehe kupunwa kuko pale pale ๐ Click to expand... Kwako hilo ndio Lina kuumiza ila kwangu kuliwa na kukula ni part entertainment
Msaga_sumu JF-Expert Member Joined Aug 31, 2022 Posts 342 Reaction score 369 Nov 3, 2024 #66 De lone survivor said: Kwako hilo ndio Lina kuumiza ila kwangu kuliwa na kukula ni part entertainment Click to expand... Jifariji ๐
De lone survivor said: Kwako hilo ndio Lina kuumiza ila kwangu kuliwa na kukula ni part entertainment Click to expand... Jifariji ๐
De lone survivor Member Joined May 7, 2024 Posts 95 Reaction score 25 Nov 3, 2024 #67 Rich John said: Jifariji ๐ Click to expand... Kuji fariji na nini sasa kati hii Dunia Kuna kukosa na kupata sasa ina tegemea na wewe kama unaibeba aje
Rich John said: Jifariji ๐ Click to expand... Kuji fariji na nini sasa kati hii Dunia Kuna kukosa na kupata sasa ina tegemea na wewe kama unaibeba aje