East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,205
nilitarajia kesi ya kuomba tafsiri ya kazi la bunge la katiba ingefunguliwa na UKAWA.Lakini hawakufanya hivyo.Kubenea na vihela vyake vidogo vya kubangaiza akatafuta wakili akafungua.Hukumu imetoka UKAWA wanaitisha hadi press conference kuzungumzia hiyo hukumu utafikiri wao ndio walifungua.
Hukumu hii mimi naiona kama ina hatimiliki (COPYRIGHT) ya aliyefungua kesi yaani kubenea.Hawa Ukawa wanaotumia hii kesi kujienga n.k kama kweli wanajali wamlipe gharama kubenea alizotumia kuendeshea hiyo kesi.Ni aibu kuwa waliachia lifanywe na mtu binafsi halafu waanze kula matunda yake kwa kuvuna wasipopanda.
Kubenea walimwita pandikizi,mtafuta umaarufu na kila jina alipofungua hiyo kesi.Namwomba kubenea awapelekee invoice za hiyo kesi walipe.Wasitumie bure hiyo judgement kwa kuwa kubenea hajaipata bure kagharimia.