Kubenea aibua Ufisadi wa Billion 1.2

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Mbunge machachari wa Ubungo Said Kubenea ameibua ufisadi wa bilioni 1.2 ambazo hutumika kwa ajili ya kufua majoho ya madiwani ktk Halmashauri za jiji.

========================

Chanzo: Magazetini
 
Naaaaaay
 
Mbunge machachari wa Ubungo Said Kubenea ameibua ufisadi wa bilioni 1.2 ambazo hutumika kwa ajili ya kufua majoho ya madiwani ktk Halmashauri za jiji.
Source:Mtanzania

Tatizi sio kuibua ufisadi mimi huyu jamaa aliwahi kukashifu sana lowasaa ila mwisho wa siku akaja kumsafisha mpinga ufisadi chadema ayupo tena
 
Mbunge machachari wa Ubungo Said Kubenea ameibua ufisadi wa bilioni 1.2 ambazo hutumika kwa ajili ya kufua majoho ya madiwani ktk Halmashauri za jiji.
Source:Mtanzania

Hapa ni halmashauri moja tu, lakini inamaana mnyika hakuuona huu ufisadi kweli? sasa nimeamini ukawa ni wa hovyo kuliko tunavyodhania.
 
Kawa lini mbunge machachari??!!
Kqma kweli kapiga tochi hilo chaka ni mwanzo mzuri
 
hizo ni mbwembwe tu za kubenea. amemsafisha mwizi mkuu lowasa anakimbilia ufuaji wa majoho..what a shame
 
hizo ni mbwembwe tu za kubenea. amemsafisha mwizi mkuu lowasa anakimbilia ufuaji wa majoho..what a shame

Acheni majungu, apongezwe kwa kazi yake. Lowassa alijisafisha mwenyewe mbele ya kamati kuu ya Chadema na Slaa akiwepo.
 
Hatumuamini takataka kubenea, si alimwagiwa tindikali na Chadomo huyu, si alisema Lowasa mwizi miaka 8.
 
ccm hawapendi habari kama hizi we angalia comment zao tu!
 
Hapa ni halmashauri moja tu, lakini inamaana mnyika hakuuona huu ufisadi kweli? sasa nimeamini ukawa ni wa hovyo kuliko tunavyodhania.
Kwani kazi ya ukawa ni kuibua ufisadi na wengine ni kuwa mafisadi?????????? Think outside the box
 
Hapa ni halmashauri moja tu, lakini inamaana mnyika hakuuona huu ufisadi kweli? sasa nimeamini ukawa ni wa hovyo kuliko tunavyodhania.
UKAWA ndiyo walikuwa wanatoa hizo hela za kufua hayo Majoho? Mbona Kikwete alishindwa kutoa hela za kutengenezea mashine za Muhimbili mpaka alipokuja Magufuli na hamkumuita Kikwete wa Hovyo kabisa?

Halafu kwani hiyo Halmashauri wakati inafanya huo ujinga ilikuwa chini ya UKAWA?
 
Slaa yupi unayemzungumzia?.. mkuu yule hayupo tena kwenye ulingo wa siasa alishamaliza kazi yake. mkuu wewe TZ huijui?

Alisema yuko tayari kupotosha ukweli ili kutimiza malengo yake- kuuza magazeti.
Aliwahi mzushia Makonda akaumbuka kwenye Tv
 
Tatizi sio kuibua ufisadi mimi huyu jamaa aliwahi kukashifu sana lowasaa ila mwisho wa siku akaja kumsafisha mpinga ufisadi chadema ayupo tena

Kweli kabisa tatizo likija jina la kubenea ujue hiyo habari kesho itagekua kuwa sio kweli
 
Natamani watu waone kazi njema aliyo ifanya ili kuukata huu mrija, kumbe kinyume chake ni gunia la lawama! My, my, my. Mlitaka akae kimya muendelee kula?? Zama hizo sasa zimekwisha. Mkilogwa tu mmekwisha. Kama ulikuwa umetegeshea mtego umefyatu.
 
Alisema yuko tayari kupotosha ukweli ili kutimiza malengo yake- kuuza magazeti.
Aliwahi mzushia Makonda akaumbuka kwenye Tv

Na bado, Muda wowote Ndungai atabuluzwa mahakamani na Saed Kubenea. Mtakuwa wa kwanza kusoma namba
 
CCM wanalalamika kwasababu ni dili zao.....fichua zote kubenea....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…