Kubenea afungua pazia Manzese

ili apate kura zetu anatakiwa akanushe yale yote aliyokuwa akiyasema kuhusu LOWASSA na atuambie alimsingizia tu ila lowassa hakuyafanya hayo na amuombe lowassa na watanzania kwa ujumla msamaha,, na atuambie kwa nini alikuwa anatudanganya,, pia atueleze ni nani alihusika kummwagia tindikali na kwasababu zipi...

Vinginevyo hatumuelewi bali tutamuona na mnafiki,mzandiki,muoga na mwongo hivyo hafai kuwa kiongozi sehemu yeyote duniani..
 
mwagia Tindikali - Asisahau kuwaeleza Wananchi nani alimwagia Tindikali na nani alimlipia kutibiwa India ni muhimu sana wananchi wakajua hayo

Le Mutuz
 
mwagia Tindikali - Asisahau kuwaeleza Wananchi nani alimwagia Tindikali na nani alimlipia kutibiwa India ni muhimu sana wananchi wakajua hayo

Le Mutuz

ARV's fake .... hakuna atakayekubali kumpa ubunge huyo Mzee madabida
 
mwagia Tindikali - Asisahau kuwaeleza Wananchi nani alimwagia Tindikali na nani alimlipia kutibiwa India ni muhimu sana wananchi wakajua hayo

Le Mutuz
Hayakuhusu...hangaika na chama chako..wewe na rizfive mtakiona cha moto...subiri.
 
Masaburi sasa uko mikononi mwa Kubenea kumbuka UDA mlivyojiuzia kama mali ya babu yenu! sasa utaumbuliwa, ubunge unakosa hakya mama utajamba cheche!
 
"ila kwa mengi aliyonayo yanayohusu matendo maovu ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), atayaeleza kwa ufasaha mikutano ijayo.

Akitandika msingi wa mwelekeo wa kampeni yake, Kubena ametaja uovu wa viongozi wakubwa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akisema atafichua matendo yao ya kifisadi dhidi ya raslimali za taifa"
Sasa Ilani ataizungumzia lini!
 
Safi Kubenea, huyu , sugu na Bulaya natamani Mungu atukutanishe nao bungeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…