Just Distinctions JF-Expert Member Joined May 5, 2016 Posts 3,322 Reaction score 6,997 Jun 6, 2016 Thread starter #21 Madam Mwajuma said: ni kweli ni propaganda haipi hiyo kitu,ila nawe kiboko unafanya kaziunashukia kwa mwanamke unapenda ubwete na una damu ya utegemezi Click to expand... Hapana Madam, Niligharamia Karibia Kila Kitu Nilichopaswa Kufanya, Si Unajua Tena Majukumu Ya Baba Ndani Ya Nyumba.
Madam Mwajuma said: ni kweli ni propaganda haipi hiyo kitu,ila nawe kiboko unafanya kaziunashukia kwa mwanamke unapenda ubwete na una damu ya utegemezi Click to expand... Hapana Madam, Niligharamia Karibia Kila Kitu Nilichopaswa Kufanya, Si Unajua Tena Majukumu Ya Baba Ndani Ya Nyumba.
Just Distinctions JF-Expert Member Joined May 5, 2016 Posts 3,322 Reaction score 6,997 Jun 6, 2016 Thread starter #22 ora said: hizo ni Gia za mtaka papuchi ya mzazi tu. mbemendo upoo!!! sio fikra potofu Click to expand... Sio Kweli, Kama Ungekuwepo Ungeshathibitishwa Kisayansi Kwani Hata Ukiwauliza Wenye Taaluma Zao Wanakwambia Hakuna Kitu Kama Hicho.
ora said: hizo ni Gia za mtaka papuchi ya mzazi tu. mbemendo upoo!!! sio fikra potofu Click to expand... Sio Kweli, Kama Ungekuwepo Ungeshathibitishwa Kisayansi Kwani Hata Ukiwauliza Wenye Taaluma Zao Wanakwambia Hakuna Kitu Kama Hicho.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,215 Reaction score 54,549 Jun 6, 2016 #23 Evelyn Salt said: kufikia kwa mwanamke na kununa kisa uchi.... na hapo utakuta hadi Mafuta ya kupaka unamtegemea mmh Click to expand... kanuna wiki ati
Evelyn Salt said: kufikia kwa mwanamke na kununa kisa uchi.... na hapo utakuta hadi Mafuta ya kupaka unamtegemea mmh Click to expand... kanuna wiki ati
Just Distinctions JF-Expert Member Joined May 5, 2016 Posts 3,322 Reaction score 6,997 Jun 6, 2016 Thread starter #24 Mtoto halali na hela said: kanuna wiki ati Click to expand... Mwanaume Hanuni!!, Kununa Ni Depo Za Kike, Mi Nilichofanya Ni Kumkaushia Tu Nikawa Simwombi Game Wala Nini Ye Mwenyewe Akajiongeza Na Akaacha Zile Sitaki Nataka.
Mtoto halali na hela said: kanuna wiki ati Click to expand... Mwanaume Hanuni!!, Kununa Ni Depo Za Kike, Mi Nilichofanya Ni Kumkaushia Tu Nikawa Simwombi Game Wala Nini Ye Mwenyewe Akajiongeza Na Akaacha Zile Sitaki Nataka.
Just Distinctions JF-Expert Member Joined May 5, 2016 Posts 3,322 Reaction score 6,997 Sep 2, 2018 Thread starter #25 Evelyn Salt said: kufikia kwa mwanamke na kununa kisa uchi.... na hapo utakuta hadi Mafuta ya kupaka unamtegemea mmh Click to expand... Sio kweli bibie Sent using Jamii Forums mobile app
Evelyn Salt said: kufikia kwa mwanamke na kununa kisa uchi.... na hapo utakuta hadi Mafuta ya kupaka unamtegemea mmh Click to expand... Sio kweli bibie Sent using Jamii Forums mobile app
Just Distinctions JF-Expert Member Joined May 5, 2016 Posts 3,322 Reaction score 6,997 Sep 2, 2018 Thread starter #26 Madam Mwajuma said: ni kweli ni propaganda haipi hiyo kitu,ila nawe kiboko unafanya kaziunashukia kwa mwanamke unapenda ubwete na una damu ya utegemezi Click to expand... Mi nilikuwa nimeenda kikazi sa nifikie tena guest wakati zilipendwa wangu yupo Sent using Jamii Forums mobile app
Madam Mwajuma said: ni kweli ni propaganda haipi hiyo kitu,ila nawe kiboko unafanya kaziunashukia kwa mwanamke unapenda ubwete na una damu ya utegemezi Click to expand... Mi nilikuwa nimeenda kikazi sa nifikie tena guest wakati zilipendwa wangu yupo Sent using Jamii Forums mobile app