Miito gani hio mingine, we unaitwa pm njoo unadengua wakati huwezi jua kuna mambo gani yatakunufaisha toka kwangu!Hehehehe kuna miito mingine aisee[emoji23][emoji23]
Enewei ngoja waje
Mkuu jins ulivyo konkludi hapa inaonesha kabisa dhamira ya kuwaita ni kuwatongoza. Nao wanajua hivyo na ndio maana kama hajakuelewa anaona akupotezee tu.Au akuambie nini .MTAKUJA PISHANA NA GARI LA MSHAHARA .ALAFU UNAKIMBILIA KWENYE MAOMBI HUOLEWI AU HAUNA MCHUMBA.JITAFAKARINI SANA .KUBALI WITO KATAA MANENO.
MAWAZO YENU WANA JF [emoji848]
NASOMA COMMENT [emoji1317]
Hahahahahah si unajua kipaji hakifi 🤓🤓🤓Ujaacha uhuni mkuu[emoji1787]
hahahahahah kmmmmk, yanalala chali yakielekea sakafunikalibusti liwe saa sita ile kuvua tu pwaahh
yeah!, ujue kitendo cha kunyanyuka na kumfuata alipo inaonyesha ni kwa jinsi gani umemthamini, wanawake ni viumbe wanaopenda sana kutukuzwa hata kwenye jambo dogo.Oooh point sana mkuu [emoji1433][emoji1433]
Nilipiga kibarua sehemu flani tulikuwa tunajenga daraja jipya. Mimi nilikuwa safety man nazuia watu wasipite njia flani mbele yake kuna mashine ya CAT inachimba shimo. Wanawake wengi nilikuwa nikiwaita hawasikii wala hawageuki, kule mbele ilikuwa ni either urudi au upite kwenye maji. Hasa wavaa ushungi nadhani unawapunguzia uwezo wa kusikia.
Walikuwa wanarudishwa uko mbele na wananipita tena kwa lawama kuwa sikuwaambia, wakati nilikuwa nasema wanakaza mwendoIkawaje mkuu