makandokando
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 299
- 21
...
Mbaya zaidi, haiingii akilini, mtu aliyekubaka, unamfuata tena. Halafu kwenye mazingira yale yale aliyokubakia mara ya kwanza, halafu unaenda. Halafu unatoka tena unasema umebakwa.
...
Mtu anabakiwa kanisani au msikitini ndo iwe gest.....wewe ukitaka kujua sheria ikoje...matafute mtoto wa shule ....mtongoze vizuri akukubalie....mwite gest nzuri au hoteli....akuvulie mwenyewe ...alafu ukutwe nae ...uone sheria inasemaje....acha upumbavu wewe....siamini kama kuna watu watatetea hili swala kwa hoja za kishamba namna hii....ngoja abakwe (aliwe) dada yako...apewe na ukimwi ndo utajua nini maana ya ubakaji wa namna hii....unaujua UKIMWI wewe....!!?Wanajamvi naombeni msaada.
Zamani nilikua nikisikia msichana kabakwa, basi kulikua na mambo yafuatayo:
1. Huyo msichana kafanyiwa kitendo ambacho hajakipenda
2. Hatapenda kirudiwe tena
3. Sehemu aliyobakwa ni sehemu ambayo anatakiwa kuwepo, na hata asingebakwa, hakuna ambaye angeshangaa kumkuna eneo hilo.
4. Yule aliyembaka anakua adui yake milele na hatapenda kuongea nae wala kuwa nae karibu
List ni ndefu.
Ila mazingira ya kubakwa pia huwa labda:
1. msichana anajitokea shuleni/kazini/katika matembezi, halafu mtu/watu wanamvizia njiani, na kumuingilia. Na mara nyingi msichana hujaribu kutumia nguvu kukurupuka au hata kupiga kelele. Yaani baada ya tukio la kubakwa, basi unaweza kukuta na majeraha mengine.
2. au labda housegirl amelala zake chumbani, halafu mzee mzima anamfuatia usiku na kumbaka huko
3. au labda mhudumu hakujua kama mtu yupo chumbani (ihahitaji uthibitisho) halafu kaenda kufanya usafi, kumbe jamaa yupo ndani, akamrukia akambaka
Yaani, lazima kuna mazingira, ya msichana kuwa eneo analotakiwa kuwepo, na mtu mwingine kutumia nguvu kumbaka msichana huyo.
Ila kwangu binafsi, haiingii akilini, msichana wa shule, kutoka alipotoka, kwenda mpaka hotelini (ambapo haruhusiwi kuwepo), halafu kuingia chumbani kwa mtu, halafu baada ya hapo aseme amebakwa.
Mbaya zaidi, haiingii akilini, mtu aliyekubaka, unamfuata tena. Halafu kwenye mazingira yale yale aliyokubakia mara ya kwanza, halafu unaenda. Halafu unatoka tena unasema umebakwa.
Nawaonea huruma waliobakwa, na kwa kweli wabakaji wapelekwe kwenye vyombo ya kisheria mapema......ila mi sielewi unakuaje umebakwa, kwenye mazingira kama hayo.
Unless, tunadefine kubaka ni kufanya mapenzi na msichana mwenye umri chini ya miaka 18, independent of kama alikuja hotelini, au ulimfuata, etc. etc.
Na kama ni hivyo, je...mtu kwenye miaka 23 hawezi kubakwa?
Wanajamvi naombeni msaada.

Rape and Sexual Violence
Sexual violence is any unwanted sexual act or activity. There are many different kinds of sexual violence, including but not restricted to: rape, sexual assault, child sexual abuse, sexual harassment, rape within marriage / relationships, forced marriage, so-called honour-based violence, female genital mutilation, trafficking, sexual exploitation, and ritual abuse. Sexual violence can be perpetrated by a complete stranger, or by someone known and even trusted, such as a friend, colleague, family member, partner or ex-partner. Sexual violence can happen to anyone. No-one ever deserves or asks for it to happen.
100% of the responsibility for any act of sexual violence lies with its perpetrator. There is no excuse for sexual violence – it can never be justified, it can never be explained away and there is no context in which it is valid, understandable or acceptable.
If you have been raped or experienced any other kind of sexual violence, no matter where you were, what you were doing, what you were wearing, what you were saying, if you were drunk or under the influence of drugs, it was not your fault and you did not deserve this.
Current legal definition of rape
The Sexual Offences Act 2003 (the Act) came into force on the 1st May 2004. The purpose of the Act was to strengthen and modernise the law on sexual offences, whilst improving preventative measures and the protection of individuals from sexual offenders. The Act extends the definition of rape to include the penetration by a penis of the vagina, anus or mouth of another person. The 2003 Act also updates the law about consent and belief in consent.
The word 'consent' in the context of the offence of rape is now defined in the Sexual Offences Act 2003. A person consents if she or he agrees by choice, and has the freedom and capacity to make that choice. The essence of this definition is the agreement by choice. The law does not require the victim to have physically resisted in order to prove a lack of consent. The question of whether the victim consented is a matter for the jury to decide, although the Crown Prosecution Service (CPS) considers this issue very carefully throughout the life of a ase.
Current legal definition of sexual (indecent) assault
Sexual assault is an act of physical, psychological and emotional violation, in the form of a sexual act, which is inflicted on someone without consent. It can involve forcing or manipulating someone to witness or participate in any sexual acts, apart from penetration of the mouth with the penis, the penetration of the anus or vagina (however slight) with any object or the penis, which is rape.
Wanajamvi naombeni msaada.
Zamani nilikua nikisikia msichana kabakwa, basi kulikua na mambo yafuatayo:
1. Huyo msichana kafanyiwa kitendo ambacho hajakipenda
2. Hatapenda kirudiwe tena
3. Sehemu aliyobakwa ni sehemu ambayo anatakiwa kuwepo, na hata asingebakwa, hakuna ambaye angeshangaa kumkuna eneo hilo.
4. Yule aliyembaka anakua adui yake milele na hatapenda kuongea nae wala kuwa nae karibu
List ni ndefu.
Ila mazingira ya kubakwa pia huwa labda:
1. msichana anajitokea shuleni/kazini/katika matembezi, halafu mtu/watu wanamvizia njiani, na kumuingilia. Na mara nyingi msichana hujaribu kutumia nguvu kukurupuka au hata kupiga kelele. Yaani baada ya tukio la kubakwa, basi unaweza kukuta na majeraha mengine.
2. au labda housegirl amelala zake chumbani, halafu mzee mzima anamfuatia usiku na kumbaka huko
3. au labda mhudumu hakujua kama mtu yupo chumbani (ihahitaji uthibitisho) halafu kaenda kufanya usafi, kumbe jamaa yupo ndani, akamrukia akambaka
Yaani, lazima kuna mazingira, ya msichana kuwa eneo analotakiwa kuwepo, na mtu mwingine kutumia nguvu kumbaka msichana huyo.
Ila kwangu binafsi, haiingii akilini, msichana wa shule, kutoka alipotoka, kwenda mpaka hotelini (ambapo haruhusiwi kuwepo), halafu kuingia chumbani kwa mtu, halafu baada ya hapo aseme amebakwa.
Mbaya zaidi, haiingii akilini, mtu aliyekubaka, unamfuata tena. Halafu kwenye mazingira yale yale aliyokubakia mara ya kwanza, halafu unaenda. Halafu unatoka tena unasema umebakwa.
Nawaonea huruma waliobakwa, na kwa kweli wabakaji wapelekwe kwenye vyombo ya kisheria mapema......ila mi sielewi unakuaje umebakwa, kwenye mazingira kama hayo.
Unless, tunadefine kubaka ni kufanya mapenzi na msichana mwenye umri chini ya miaka 18, independent of kama alikuja hotelini, au ulimfuata, etc. etc.
Na kama ni hivyo, je...mtu kwenye miaka 23 hawezi kubakwa?
Wanajamvi naombeni msaada.
Nakubaliana na wewe kabisa FUSO huyu babu wa AKUDO Impact ni Babu yake na makandokando Halafu ni kubwa jinga eti mpaka leo linatuma smsIla kwangu binafsi, haiingii akilini, msichana wa shule, kutoka alipotoka, kwenda mpaka hotelini (ambapo haruhusiwi kuwepo), halafu kuingia chumbani kwa mtu, halafu baada ya hapo aseme amebakwa. (Jibu) Babu yako kamtuma dereva wake kumfuata yule binti shule, wamekuja na dereva hadi reception - watu wa reception walimzuia binti kuingia chumbani, babu yako akalazimisha - mtoto na dereva wakapanda juu huku mtoto akiamini hawezi kufanyiwa kitendo hicho na mtu ambaye ni mkubwa serikalini tena mtu mzima kama babu yake! zaidi mtoto anaamini yupo mikononi mwa wanaume wawili watu wazima yaani dereva & babu yako - so at age of 14 hata kama ungekuwa ni wewe ungeamini kwamba your safe achilia mbali hoteli ya kitalii ambayo babu yako alifikia. Huwezi jua babu yako anatumia nini, lakini kumbuka kutumia pesa kudanganya ni kosa kubwa, na kumdanganya mtoto wa chini ya miaka 18 ni kazi ndogo sana! hata wewe ulivyokuwa na miaka 14 nafikiri hata kujieleza ulikuwa hujui - sina uhakika hata mavazi ya ndani yalikuwa masafi - hii siyo hoja ya kumwokoa mtuhumiwa. Babu yako amebaka mjukuu wake!!! lazima sheria ichukue mkondo wake ili we fundisho wa wale mashebedee wanaotumia pesa zao kuhadaa watoto wadogo.