Habari za wakati huu ndugu zangu..mimi ni mkazi wa jiji la dar-es-salaam.
#nina miliki Blackberry Bold (Nyeusi), ningependa kubadilishana na Samsung galaxy au HTC..!!
#### kama unamiliki moja ya simu hizo na ungependa tubadilishane,plz ni pm (nitumie private mail) tuzungumzee...simu ipo katika condition nzuri,nakupa charger + its pocket case.