Kubadilishana simu

ngosha2011

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
681
87
Nina LG GU285 niliagiza toka nairobi,ni 3g na ina mambo mengi na pia internet yake ipo fasta,ina earphone zake na chaja ni line moja isipokuwa screen yake si kubwa sana kama ninavyopenda mimi,natafafuta yoyote mwenye simu orijino yenye screen kubwa tufanye exchange,hata kama 2g,nikipata nokia x201 ntafurahi,itafute google uicheki..namba yangu ni 0755065418
 
Du..! bora ukajaribu kubadilishana kwenyw maduka ya simu, ila humu sidhani.. Alaf usiwe fast kutoa namba yako ya sim
ushauri tu
 
mimi nina htc magic adroid, nipe laki na nusu na hiyo simu,
 
Du..! bora ukajaribu kubadilishana kwenyw maduka ya simu, ila humu sidhani.. Alaf usiwe fast kutoa namba yako ya sim
ushauri tu

Mbona unamkatisha tamaa jamaa?...mbona watu kibao hm wanabadlishana simu!
 
sio mara yangu ya kwanza kufanya biashara ku jf,kama huna simu wala ushauli kaa kimya,ambao watapenda watanitafuta na tutamaliza, ishu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…