kubadilishana kituo cha kazi

JoeMoe

New Member
Joined
Jul 6, 2015
Posts
3
Reaction score
0
Njoo mbeya chunya mjini chokaa sec nije handeni
0712442829
 
Kwani hujui utaratibu wa kuomba kuhama? Hukuajiriwa kwa mkataba?
 
Njoo nzega tabora aende babati manyara idara sekondari
0756430325
 
Kabadilishana vituo vya kazi ni utaratibu pia

Badala ya kusubiri hiyo bahati na sibu ama coincidence ya mtu anayetaka kurudi unapotoka nawe kwenda alipokuwa utaratibu ni kwenda kwa mkurugenzi wa say Halmashauri unayotaka kuhamia ataangalia kama ana nafasi kwenye halmashauri husika na kama itakuwepo utarudi kwenye halmashauri unayofanyia kazi unaandika barua kwa mkurugenzi unaacha nakala kwenye kituo chako cha kazi kisha unahamia kwenye halmashauri uliyoomba ili kupangiwa kituo kingine!
 
Ingekuwa rahisi rahisi kama ulivoandika hapa mbona ingekuwa raha,
wahamaji ni wengi, kwa waliopo vijijini (wilayani) wanataka kujimuvuzishia mijini unadhani wakurugenzi wanakubali kirahisi rahisi, watapata wapi wafanyakazi wa kwenda huko bush tena? Kupata mtu wa kubadilisha ni kazi kwakweli japo ukimpata unahama kirahisi sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…