Mkuu haya maelezo ya Jumla mno ! Mf.Mkoa wa Morogoro n mkubwa unaanzia Bwawani njia ya Dar Hadi kule Kilombero unapakana na Ruvuma:-!na Mkoa waPwani unazungumzia kwa Wazigua kule kupita mto Wami..mpaka Mafia!
Ina maana upo tayar kwenda popote ktk Mikoa hiyo!