Kubadilishana kituo cha kazi

Kubadilishana kituo cha kazi

juliethwilson

Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
13
Reaction score
1
Natafuta mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi kutoka mbeya aje songea (madaba) atakae hitaji anitafute 0755525131 elimu msingi
 
Njoo shinyanga Karibu na mwanza Nije mikoa ya kanda ya kati, mashariki, na kaskazini

Idara msingi
 
Karibu kigoma uvinza ,nami nije;

TANGA
PWANI
MTWARA
LINDI
AU
IRINGA,Idara ni
MSINGI
Mawasiliano ;
0786-172992.
 
Natafuta mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi kutoka mbeya aje songea (madaba) atakae hitaji anitafute 0755525131 elimu msingi
Njoo Musoma dc nije arusha wilaya yoyote,Kilimanjaro wilaya yoyote, na tanga korogwe Hansen,idara sec 0659873670
 
Back
Top Bottom