L ligimilo JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 301 Reaction score 75 Jun 8, 2016 #1 Wakuu nna Toyota RAV 4 ya mwaka 1998 nataka nibadilishane na mtu mwenye Toyota IST ya mwaka (2000-2003), kwa mwenye uhitaji huo tafadhali. Aidha kulingana na utofauti wa bei ntahitaji kuongezewa fedha kidogo ili kufidia hiyo gap.
Wakuu nna Toyota RAV 4 ya mwaka 1998 nataka nibadilishane na mtu mwenye Toyota IST ya mwaka (2000-2003), kwa mwenye uhitaji huo tafadhali. Aidha kulingana na utofauti wa bei ntahitaji kuongezewa fedha kidogo ili kufidia hiyo gap.
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,341 Reaction score 15,842 Jun 8, 2016 #2 Toa specifications za gari yako kwanza na inahali gani..tupia picha kama hujaja kutania