runtown JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 844 Reaction score 1,169 Nov 1, 2018 #1 Habari za mida hi wakuu Kama kichwa kinavojieleza apo juu hivi inaezekana mtu kubadilisha kozi moja kwenda nyingine mfano nursing kwenda clinical medicine. Au kutoka phamacy kwenda nursing. Nawakilisha
Habari za mida hi wakuu Kama kichwa kinavojieleza apo juu hivi inaezekana mtu kubadilisha kozi moja kwenda nyingine mfano nursing kwenda clinical medicine. Au kutoka phamacy kwenda nursing. Nawakilisha