kwa kuchange fedha nenda kariakoo kuna jamaa fulani wako pale wanaexchage nzuri halafu hawana longolongo ni mara nyingi twawatumia wako poa but kuwa makini makini kwenye hizo quantation wengi huwa wanatuibia hapo hasa hawa wahindi na walabu kwenye bureu de change