Nenda ilala pale karibu na ofisi za TFF ndo wanafanyaga sana hizo ishu
Asanteni sana kwa ushauri. Kuna mtu alishawahi kuniambia kuwa ukiona RVR inatembea ujue imefungwa injini nyingine. Nitafuata ushauri wenu wakuu.
Takalani Sesame
mossad007
Unafunga Engine ya Toyota CarinaDuhhh.... RvR unafunga engine ya Toyota ipi???
Mkuu piga mahesabu ukiona yanazidi muuzie fundi wewe utafute nyingineAsante sana Mkuu. Nitatunza hilo jina, ila naomba ukipata contacts zake unipatie.
Asante sana Mkuu. Nitatunza hilo jina, ila naomba ukipata contacts zake unipatie.
Kuna jamaa hapa ofisini anayo RVR kafunga Engine ya Carina lakini kwenye tyre huwa inamsumbua sana kwani breakpad pamoja joinbolt na bush zake ni aghali sana. Kama vipi ipige chini mkuu utafute gari za kueleweka hasa hasa brand za toyotaAsanteni sana kwa ushauri. Kuna mtu alishawahi kuniambia kuwa ukiona RVR inatembea ujue imefungwa injini nyingine. Nitafuata ushauri wenu wakuu.
Takalani Sesame
mossad007
Kuna jamaa hapa ofisini anayo RVR kafunga Engine ya Carina lakini kwenye tyre huwa inamsumbua sana kwani breakpad pamoja joinbolt na bush zake ni aghali sana. Kama vipi ipige chini mkuu utafute gari za kueleweka hasa hasa brand za toyota