Abubakar seleman
Member
- Aug 5, 2012
- 34
- 0
Habari wana jf je naweza kuomba kubadilisha chuo nataka kufanya hvyo na vp proces zake
Nimechaguliwa kampala hapa dar nataka kuhamia chuo chochote cha hapa dar kama ikwezekana:duce,st joseph,tumaini au teofilo cha tanga naomba msaada

nacte?inawezekana cha kufanya ni kuandika barua kwa registr wa chuo unachotaka na course unayotaka kama wanaweza kupatia chance then unakwenda nacte ukifika nacte utapata procedure bt la kwanza ujue a hapo unapotaka umepata ama laa voz kama watakukubali watkupa lettr