Ballack-13
Member
- Jul 8, 2018
- 63
- 83
Hahahaha we jamaa bhanaSasa natandikaje kitanda wakati baadaye nakuja natandua tena? si usumbufu huo.
[emoji38] [emoji38]Sasa natandikaje kitanda wakati baadaye nakuja natandua tena? si usumbufu huo.
Ukirudi wkt wa kulala hupati shida umechoka unalala sehem ulipotandika asbh mkuuSasa natandikaje kitanda wakati baadaye nakuja natandua tena? si usumbufu huo.
Nakubaliana na ww mkuu wick ukiweza kubadili sub conscious mind yko kwa kuelekeza jambo fulani kila asbh na usiku kbla ya kulala kwa siku 30 mfulilizo unabadilka xbsaBaada ya siku 62, tabia ya binadamu yeyote aliye kwenye hatua ya mabadiliko hubadirika kweli!.
Mkuu joseverst tabia ya kuzoeana na matatizo yanakuwa sehem yetu ya maisha hivyo tunashindwa kuona matatizo ni sehem ya maisha bdala ya kuyakabili ili uweze kwenda mbeleMAISHA NDIO HAYA HAYA
Nakubaliana na ww mkuu maisha ynategemeana lkn pia ynakutegmea wewe pia kwa 100% maisha hyna uwakilishi ynakutaka wewe kama wew uumize kichwa kwa 100% ili ktk kila jmbo unalolifanyaMaisha yanategemeana.
Nakubaliana na ww mkuu maisha ynategemeana lkn pia ynakutegmea wewe pia kwa 100% maisha hyna uwakilishi ynakutaka wewe kama wew uumize kichwa kwa 100% ili ktk kila jmbo unalolifanya
Ni inabidi uwe willing kubadirika lakini kwa mtoto hii process ni simple zaid.Nakubaliana na ww mkuu wick ukiweza kubadili sub conscious mind yko kwa kuelekeza jambo fulani kila asbh na usiku kbla ya kulala kwa siku 30 mfulilizo unabadilka xbsa
uko sahihi mkuu...matatizo tuyatatue ndio maishaMkuu joseverst tabia ya kuzoeana na matatizo yanakuwa sehem yetu ya maisha hivyo tunashindwa kuona matatizo ni sehem ya maisha bdala ya kuyakabili ili uweze kwenda mbele
Mkuu matatizo yapo kwaajili kuzuia ss twende mbele kama hautafuti majawabu ya matatizo yko hwz kusonga mbeleuko sahihi mkuu...matatizo tuyatatue ndio maisha
nakubaliana na wewe mkuuMkuu matatizo yapo kwaajili kuzuia ss twende mbele kama hautafuti majawabu ya matatizo yko hwz kusonga mbele