Benokolongokonongose
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 213
- 52
Habari zenu. Hivi hakuna uwezekano wowote wa kubadili umbo la maiki yaani kipaza sauti?
Habari zenu. Hivi hakuna uwezekano wowote wa kubadili umbo la maiki yaani kipaza sauti?
Kwanini kwani lilivyo halitoi sauti
kwani hilo la awali lina shida gani?
Swali juu ya swali ahhha ndio kawaida yetu
hapo red ni kawaida yenu na nani?Swali juu ya swali ahhha ndio kawaida yetu
Kiukweli mie sijaelewa
Kama mimi...
Maiki hii hii au ile nyingine?
hapo red ni kawaida yenu na nani?
Kuna maswali mengine hayahitaji majibu bali maswali
Habari zenu. Hivi hakuna uwezekano wowote wa kubadili umbo la maiki yaani kipaza sauti?