Taratibu za kisheria ni kwenda TRA ukiwa na kadi ya gari gharama yake nadhani ni 10,000/= kama sikosei. Taratibu za kiufundi ni kulipeleka gereji na kupaka rangi unayotaka gharama inaanzia laki tisa hadi millioni tatu kwa gari ndogo kutegemea na rangi pamoja na kiwango cha upakaji.