cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
Katika kipindi hiki cha hali ngumu watu wengi wamekua wakibana matumizi katika manunuzi mbali mbali na kubadili lifestyle kabisa, watu wameacha kunywa pombe,kutokua na michepuko lakini wameongeza sana matumizi ya simu,
Matumizi ya internet katika simu yamekua juu sana miongoni mwa watanzania wengi,na gharama za vifurushi vya internet vinapanda bei kila siku taratibu bila watu wengi kunotice,
Video live katika mitandao ya facebook na instagram zimekua popular na watu wamejikuta wakiingia gharama kubwa katika ku download kuangalia au ku upload videos na picha kupitia simu zao.
Ukiangalia kiasi cha pesa mtu anachoweza kutumia kwa buku buku anazo recharge bila mpangilia. Mwisho wa mwezi unakuta umetumia pesa nyingi na unabaki unashangaaa kwa nini umechange life style na pesa bada haionekani
Please hebu jaribu kuangalia matumizi yako ya simu ni kiasi gani cha pesa unatumia kwa mwezi utajua naongea nini