Kubadili majina ya cheti cha kuzaliwa

Kubadili majina ya cheti cha kuzaliwa

Joined
Jul 6, 2015
Posts
36
Reaction score
24
Wanajamii nahitaji kubadili majina yote matatu kwenye nyaraka kama Cheti cha kuzaliwa,Ubatizo,vitabulisho vya benki etc.Ningependa kufahamu njia fupi na isiyokuwa mlolongo au kuchukua muda mrefu.

Au kama kuna Uzi ambayo umeshawahi kuweka hapa Wenye kuota ufafanuzi ningependa mwenye ufahamu niupitie inakuwa vizuri zaidi.

Ahsanteni.
 
nenda kwa wakili ule kiapo,baada ya hapo nenda na rushwa kila taasisi unayotaka ikubadilishie jina,hutasumbuka sana....(msinipopoe mawe)😛ainkiller:
 
ukibadili jina haubadili majina kwenye vyeti vyako vilivyopita, ila unatumia hati uliyopewa kama kiambatanishi kwamba ukuta wa yericko awali alijulikana kama mnara wa Babylon.
 
ukibadili jina haubadili majina kwenye vyeti vyako vilivyopita, ila unatumia hati uliyopewa kama kiambatanishi kwamba ukuta wa yericko awali alijulikana kama mnara wa Babylon.

Saws,unamaanisha kuwa vikahitajika utavitambulisha n.a. hata utakayopewa.
 
nenda kwa wakili ule kiapo,baada ya hapo nenda na rushwa kila taasisi unayotaka ikubadilishie jina,hutasumbuka sana....(msinipopoe mawe)😛ainkiller:

KWA kweli sifikiri kuota rushwa kwa mtu yeyote au taasisi.
 
Back
Top Bottom