tzhumoally
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 412
- 156
Mkopo utapewa ila boom lako litacheleweshwa kama semister nzima hivi
Hapo inabidi kukomaa na Loan Officer mbaka kieleweke
Sasa me nilimaliza f6 mwaka 2011 nilipata principal pass moja na subsidiary zote na mwaka 2015 nili ludiaa mitihani miwili na nikapapa principles pass 2 nimeonganisha nimekuwa na principles 3 yani na BCC je huo mkopo naweza Pata maana miakaaaa mi3 ilisha pita sema nimeunga cheti.... Hapo vipi na course niliomba ni BATCHELOR OF ART WITH EDUCATION msaada wa mawazo wakuu......
Yani ulitaka kubadili kozi chuoni ama?
Uwezekano wa kupata mkopo sababu wanasema mwombaji asiwe na miaka mitatu Tangu amalize skuli me sielewi nitakuwa kundi gani maana nipo sehem mbili yani mwaka 2011 nifanya kama school candidate na 2015 Nilifanya kama private candidate s
Oi et wanaosoma dploma huwa wanapewa mkopo kwel!!!!nauliza
utatuma maombi upya.. kuwajulisha hizo changes ..nao watakupangia mkopo upya kulingana na unachosomea, kwa mfano kuhama toka MD kwenda social science lazima mkopo ubadilike hapo..
ongea na wahusika chuoni watakuelekeza vizuri
Unawezaje kuomba upya wakati mkopo ushakuwa procesed chuoni?
ina tegemea na ada ya kozi mpya uliyo hamia.maana mikopo mnapewa kwa evaluation ya gharama na ufaulu.so gharama ikiongozeka unaweza shuka daraja la mkopo au kuukosa kabisa
education hata ukikaa miaka 10 mtaani basi unapewa,ualimu na udaktari hawaangalii miaka uliomalizaSasa me nilimaliza f6 mwaka 2011 nilipata principal pass moja na subsidiary zote na mwaka 2015 nili ludiaa mitihani miwili na nikapapa principles pass 2 nimeonganisha nimekuwa na principles 3 yani na BCC je huo mkopo naweza Pata maana miakaaaa mi3 ilisha pita sema nimeunga cheti.... Hapo vipi na course niliomba ni BATCHELOR OF ART WITH EDUCATION msaada wa mawazo wakuu......