Kubadili kada ya utumishi (job recategorization)

Kubadili kada ya utumishi (job recategorization)

ILLUNGU

Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
35
Reaction score
7
WANA HRO, naomba nielimishwe kuhusu mchakato wa mtumishi wa umma kufanyiwa job recategorization, zoezi la kubadili kada huwa linafanyika mwezi wa ngapi?
 
Endelea kufundisha huko Katavi, kama ulikubali kusomea hiyo kozi hadi ukaajiliwa ulikuwa unategemea nini?
 
hata mimi nahitaji hilo natamani kufundisha collage hasa vya ualimu
 
Write your reply...ulishapata utaratibu wa namna ya kuhama kufundisha toka sec kwenda college?
 
Sor..
mimi pia ni mtu ambaye nasubilia kufanyiwa recategorization..
kwaa maana kutoka kada ya ukufunzi kwenda Procurement..
kwa maana mara ya kwanza nilikuwa nikifundisha hayo masomo..

ila baada ya kuhamia kwa mwajir X, nimeambiwa nisubili mwaka wa fedha nitengewe budget ya kubadilishiwa kada..

so kimsing ni mwajir ndiye anayekubadilishia kada baada ya kutenga budget
 
Halina mda Maalumu Kitu Cha Msingi ni kuwa Na sifa(academic qualifications) zinazoendana Na kada unayotaka kuiendea Kwa Mujibu wa miundo ya utumishi(service schemes)
Vikiwa Sawa unamuadikia muajiri wako
 
Back
Top Bottom