Kubadili fedha za kigeni Arusha

Kubadili fedha za kigeni Arusha

tahan96

Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
86
Reaction score
105
Kwa wakazi wa Arusha wapi naweza kubadili fedha za kigeni za Israel, ma benki ni changamoto.
 
Kwa wakazi wa Arusha wapi naweza kubadili fedha za kigeni za Israel, ma benki ni changamoto.
wao wenyewe wanatumia dola.hela yao hawatoi holela..
izo lbd utafute kampuni za utalii za arusha ambazo wanafanya kaz na israel lbd wanaweza kukusaidia.
 
Hizo pesa nunua wallet mpya zitie humo kisha mpe mwanao atanulie au mtunzie akiwa mkubwa alingishie wenzie!.

Nilikuwa UGX kubadilisha ilichukua wiki mbili yaani!.
 
Back
Top Bottom