Kubadili camera samsung j4

IrDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
745
Reaction score
361
Habari wakuu,
Simu yangu samsung j4 (pichani) imepasuka kioo,imepasuka camera ya nyuma, je inaweza kutengenezwa? Naomba kujuzwa gharama yake inaweza kuwa kiasi gani?
 

Attachments

  • IMG-20190728-WA0012.jpeg
    28.5 KB · Views: 43
Nenda Samsung Service Center iliyo karibu na ww utapewa utaratibu...halafu siku nyengine ujifunze kuziba hyo IMEI No# sio vzuri kuziweka hadharani kama hv.
Habari wakuu,
Simu yangu samsung j4 (pichani) imepasuka kioo,imepasuka camera ya nyuma, je inaweza kutengenezwa? Naomba kujuzwa gharama yake inaweza kuwa kiasi gani?View attachment 1165289
 
Habari wakuu,
Simu yangu samsung j4 (pichani) imepasuka kioo,imepasuka camera ya nyuma, je inaweza kutengenezwa? Naomba kujuzwa gharama yake inaweza kuwa kiasi gani?
Nashukuru wakuu, nimerekebishiwa kwenye duka la samsung kwa sh 15,000
 
Nashukuru wakuu, nimerekebishiwa kwenye duka la samsung kwa sh 15,000
Duka la samsung la wapi? Mana na mi nna s4 yngu inazngua kinoma mpk nimeamua kuipaki hom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…