Kuapishwa kwa Charles Kitwanga

Kuapishwa kwa Charles Kitwanga

Chopanga

New Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
3
Reaction score
0
Leo anaapishwa kuwa kamanda wa vijana wa CCM mkoa wa Mwanza cha kushangaza anaapishiwa jimboni kwake Misungwi wakati wenzao wanaomboleza.
 
Kama tunaelekea huku, sasa ni kweli ubinadamu umetutoka.
labda alimaanisha mnyama komba ni kweli kuna mnyama anaitwa komba kwani wangoni klawaida yao kuitana majina ya wanyama ,kuna NGOnyani,MApunda,KAtembo,komba
 
Mnyama mwitu ni Komba au Wasira?

komba ni mnyama mdogo anakulaga sana ndiz ni mnyama ambaye ana tofauti kubwa na paka ,kuku,bata,popi,ngombe,mbuzi nk ambao hao wanafugwa na kuishi pamoja na binadamu .mnyama mwingine tofaut na hao anaish mwituni alikodai atakimbilia baada ya restoration ya tanganyika. Understand?
 
ndio...
 
huyo ni zaifu namfahamu ameshindwa kuongoza kampuni ya wafanyakazi 50+ ataweza kuongoza vijana wa mkoa mzima?
 
Back
Top Bottom