Pamoja na vibali toka mamlaka husika kama
Lihakanga alivyosema hapo juu, kitu kikubwa ni *
Falsafa* itakayoongoza shule yako:
1. Montessori-type au ya kikoloni?
2. Wanafunzi watakuwa wanapigwa au hawapigwi?
3. Whole-health (mental, physical, psychological) au kuangalia maksi tu?
4. Pesa kama tai, au sivyo?
n.k.
: