Shebby Pallah Member Joined May 1, 2017 Posts 29 Reaction score 18 Nov 11, 2019 #1 Tafadhali naomba mnifahamishe jinsi ya kufungua school labaratory. Hii ni kwa ajili ya wanafunzi wanaosoma sayansi watakuwa wanakuja kufanya practical za masomo kwa gharama katika kituo changu. Maoni na ushauri tafadhali.
Tafadhali naomba mnifahamishe jinsi ya kufungua school labaratory. Hii ni kwa ajili ya wanafunzi wanaosoma sayansi watakuwa wanakuja kufanya practical za masomo kwa gharama katika kituo changu. Maoni na ushauri tafadhali.
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 42,803 Reaction score 95,690 Nov 11, 2019 #2 Washauri mkwapi?