Hawa jamaa ni sawa kabisa na hilo ndume. Sasa wamebaki kama kondoo tuUmenikumbusha miaka ya tisini mwanzoni tulikuwa na dume moja kubwa sana la ng'ombe yaani lilikuwa linafukuza sana watu hivyo dingi akashauriwa aliwekee hiyo bangili...tangu hapo lilibaki kuwa kama kondoo tu...tulikuwa tunaliita "NDUME"
[emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji3]Kwa sasa wanaijua sifuri ya kirumi.
Hawa jamaa ni wa kuitwa Chama Cha Maksai. Wanaburuzwa ila hawana cha kufanya kwa kuwa pua zao zina bangili ya kuwapa maumivu pale wanapotaka kufurukuta. Mchunga waonyeshe wewe ni nani. Nataka niwatie hasira hawa Chama Cha Maksai
View attachment 557216
Na wote tuseme Amen
Wakubali kuchanika pua tu wataponea mbele ya safari, ila wamdhibiti mchungaMchunga maarifa yake ni madogo sana. Wewe ngojea uchaguzi ukaribie uone. Maksai waliokula chumvi wanamafaili ya Mchunga. Mchunga alibadilisha taratibu za kuchagua mgombea wa chama cha Maksai lakini haita msaidia