Ndugu yangu isikukute ,ni mtihani mgumu sana,kama hamusihi pamoja wengine huwa wanaamua kupotezea kwa kukata mawasiliano,kasheshe inakuja mwanamke akikutafuta akaku face na kukuuliza 'hey Rocky whats going on mbona umebadilika ghafla?' hivi utamwambia 'sikutaki tena?' sana sana utajiuma uma na kusingizia u bize.Mkuu haijawahi kunitokea ila ni maamuzi tuu maana huwezi kubishana na matakwa ya wakati huo au kile ambacho moyo wako unaamua
Huwa mtu anafikia kipindi anaona kabisa hapa hakuna tena kwenda mbele ni bora liishe na ni ngumu sana kwa watu kama hao kusema wazi wazi
Ndugu yangu isikukute ,ni mtihani mgumu sana,kama hamusihi pamoja wengine huwa wanaamua kupotezea kwa kukata mawasiliano,kasheshe inakuja mwanamke akikutafuta akaku face na kukuuliza 'hey Rocky whats going on mbona umebadilika ghafla?' hivi utamwambia 'sikutaki tena?' sana sana utajiuma uma na kusingizia u bize.
huo ndo mtihani na matokeo yake ndo 'sintofahamu' na mwishowe madai ya 'ulinipotezea muda' kumbe mapenzi yashakwisha long time.mambo magumu sana haya na ndo maana kama ni nyumba ya kupanga wengine huwa wanaondoka bila kuaga au wengine wana turn violent na kuanza kuwapiga wenza wao bila sababu ili mradi tu ajue kuwa hapendwi tena.hapo mkuu ni utata
maana kusema ile wazi kuwa sikutaki tena au nimekuacha ni shughuli
yaani unasingizia ubusy au safari sehem ambazo hazina net au visababu visivyo na kichwa
ila kusema ile wazi aise nimekutema ni issue
z
huo ndo mtihani na matokeo yake ndo 'sintofahamu' na mwishowe madai ya 'ulinipotezea muda' kumbe mapenzi yashakwisha long time.mambo magumu sana haya na ndo maana kama ni nyumba ya kupanga wengine huwa wanaondoka bila kuaga au wengine wana turn violent na kuanza kuwapiga wenza wao bila sababu ili mradi tu ajue kuwa hapendwi tena.
Ugumu unakuja hapo,na tatizo mwanamke mwingine hata akiambiwa uso kwa uso huwa hawezi ku accept rejection,ndo mana wengi huwa wanachanganyikiwa,wanakonda na wengine wanakuwa suicidal.Yaani mwanaume bora yasikukute.Yaani mkuu ni bora kupotezea na kuhama kabisa mtaa au nyumba unayokaa kuliko kuface the reality na zile lawama
hasa kwa mtu ambaye ushamwambia kuwa u can be her husband
Ukifikiria time u spend together, time she lost for you, her expectation and lot of her plan over you unaamua kupotezea na kuhama kabisa
Mi nilimwita home kwangu na nikamwambia...."it's Over" kila mtu afuate mambo yake kwa misukosuko tuliyopitia basi sitaki tena
Ugumu unakuja hapo,na tatizo mwanamke mwingine hata akiambiwa uso kwa uso huwa hawezi ku accept rejection,ndo mana wengi huwa wanachanganyikiwa,wanakonda na wengine wanakuwa suicidal.Yaani mwanaume bora yasikukute.
wewe mwambie uko busy sana
wenye kuelewa wanaelewa....hasa kama huishi nae....
kama unaishi nae......hiyo shughuli
kama unaishi naye ni mtihani mkubwa sana,na bora iwe nyumba ya kupanga unaweza kusepa,kama ni ya kwako umejenga na akakwambia 'we mwanaume sikia,mi najua kuingia tu sijui kutoka' hapo utalijua jiji.Mi namjua jamaa aliyeamua kuuza nyumba wakati bado wote wanaishi humo ndani.wewe mwambie uko busy sana
wenye kuelewa wanaelewa....hasa kama huishi nae....
kama unaishi nae......hiyo shughuli
TB imagine uko nae ndani bado anakupenda na anajua kwa hakika wewe ni mume wake mtarajiwa then unamwambiaje hilo
<br />Ugumu unakuja hapo,na tatizo mwanamke mwingine hata akiambiwa uso kwa uso huwa hawezi ku accept rejection,ndo mana wengi huwa wanachanganyikiwa,wanakonda na wengine wanakuwa suicidal.Yaani mwanaume bora yasikukute.
wakati mwingine sio kwamba anakupenda kihivyo ni njaa tu.yeah kwao ni ngumu sana kukubaliana na reality
na huishia kufanya vituko ambavyo huwezi tegemea
it is hard to accept hasa inapotokea kuwa huyo mtu bado mnapendana ila upande mmoja ashachoka na uhusiano wako na anaamua kukuacha wakati upande wa pili bado anapenda