The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,586
- 14,143
Ila kwa matamko TRA tulishawazoea..kwa wafanya biashara ili kepuka kadhia hiyo jiunge na mfumo wa DIRM VFD ni mfumo mpya uliothibitishwa na TRA kutoa risiti za EFD zenye QR CODE kwa kutumia simu ya mkononi au kompyuta kwa kwa shiling laki tatu tu, (300,000 unapata pamoja na printer).
Huu mfumo ni Bora na rafiki kwa wafanyabiashara au watoa huduma kwani utakaokuwezesha kutoa risiti popote ulipo bila kikomo, inapunguza garama mpaka 50%, hakuna marekebisho ya mara kwa mara n.k.
Wasiliana nasi Dirm VFD kupiga au whtsp 0753688348
Ona hapa 👇