TangataUnyakeWasu
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 1,268
- 1,587
Ndalichako mulika huu utaratibu wa wanafunzi wanaomaliza KIDATO CHA NNE mwezi wa 11 na kujiunga KIDATO CHA TANO mwezi wa 7 mwaka unaofata. Huu utaratibu ni hatari sana kwa watoto wa kike Kwani unaweza kupelekea kupata mimba baada ya kukaa mtaani muda mrefu.