KUANGUKIA C MCHEZO BANA

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
Mume amempigia simu mtalaka wake ataka warudiane. ..

Mume: nisamehe naomba turudiane...

Mke: una kikombe hapo?

Mume: No! Kwanini?!

Mke: Kachukue kikombe jikoni...

Mume: Umefanya wazimu? Sawa nishaenda chukua. Sema...

Mke: Kibwage kwanzia juu mpaka chini.

Mume: Tayari.

Mke: Kimevunjika sio!! Sasa kirudishe kilivo kua...

Mume: No, hakijavunjika kwajili cha plastic...

Mke: !!!! mkorofi mkubwa ww, haya njoo unichukue...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom