Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 23,281 Reaction score 28,441 May 21, 2019 #41 Kambaku said: Yameanza kula nguo usiku wa leo! Baada ya kukosa kitu jikoni Click to expand... Kama bakora sita za mkwaju kisha ziweke kwenye mlango wa kabati la nguo, si wamechokoza vita menyewe, wakiziona hizo bakora watahama nyumba usiku huohuo, niwaoga sana wa bakora.
Kambaku said: Yameanza kula nguo usiku wa leo! Baada ya kukosa kitu jikoni Click to expand... Kama bakora sita za mkwaju kisha ziweke kwenye mlango wa kabati la nguo, si wamechokoza vita menyewe, wakiziona hizo bakora watahama nyumba usiku huohuo, niwaoga sana wa bakora.
W wakurochi JF-Expert Member Joined Dec 4, 2017 Posts 2,647 Reaction score 2,954 May 27, 2019 #42 vip mrejesho
Swet-R JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 5,611 Reaction score 8,097 May 27, 2019 #43 Duuh...! Jamii forum bwana ni kama kichaka cha kutatulia matatizo. Mnalia lia hata kwa panya?
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,735 Reaction score 76,364 May 27, 2019 #44 elvischirwa said: Sidhani kama bado inapatikana, ilitoweka. Click to expand... Ukikosa Indocid unaweza kutumia hata Piroxicam
elvischirwa said: Sidhani kama bado inapatikana, ilitoweka. Click to expand... Ukikosa Indocid unaweza kutumia hata Piroxicam
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,735 Reaction score 76,364 May 27, 2019 #45 Ila usishangae we unatafuta dawa ya kuwaangamiza hao panya kumbe nao wanapitia jamiiforums na wanaona mada zinazowajadili namna ya kuwaua Jokes tu!
Ila usishangae we unatafuta dawa ya kuwaangamiza hao panya kumbe nao wanapitia jamiiforums na wanaona mada zinazowajadili namna ya kuwaua Jokes tu!