Hata kumfukuza tu ni poa aisee ila mabishi balaasorry... ni kosa kumuita panya mdudu alafu yule ni mnyama kama wanyama wengine na ana haki ya kuishi kama wengine, familia yake inamtegemea. Hivi kwenye vitabu vya dini viimeandikaje kuhusu kuua? kuua sio binadam tu hata wanyama wanaonyonyesha kama panya wanahusika pia.....
(jokes)
Panya ni mnyama mjanja sana na ndiyo sababu katuni nyingi za watoto zinamhusu panya. Unapotumia sumu au mtego wowote ile hakikisha mara tu alapo au anasapo unamuondoa mtuhumiwa kabla wenzake hawajamuona na uhamishie sehemu nyingine; Na kama ni sumu usiirembe sana kwa mapochopocho udugu huo hana, hatakula huwa wanajiuliza kama kitamu kwanini wewe haukula? Na ukiwabughudhi sana watahama wakuachie nyumba yako kama umeiona ni ya maana sana. Ukifuga paka hakikisha haumpi chakula chochote kile vinginevyo utawakuta wanacheza pamoja huku wakivutana sharubu.Hayali aisee, yalikula siku ya kwanza yakafa manne baada ya hapo hayagusi ng'o!
Sidhani kama bado inapatikana, ilitoweka.Suluhisho la panya ni INDOCID dawa ya mifupa ya binadamu.
Itafute mkuuu
Asante mkuu kwa mawazoPanya ni mnyama mjanja sana na ndiyo sababu katuni nyingi za watoto zinamhusu panya. Unapotumia sumu au mtego wowote ile hakikisha mara tu alapo au anasapo unamuondoa mtuhumiwa kabla wenzake hawajamuona na uhamishie sehemu nyingine; Na kama ni sumu usiirembe sana kwa mapochopocho udugu huo hana, hatakula huwa wanajiuliza kama kitamu kwanini wewe haukula? Na ukiwabughudhi sana watahama wakuachie nyumba yako kama umeiona ni ya maana sana. Ukifuga paka hakikisha haumpi chakula chochote kile vinginevyo utawakuta wanacheza pamoja huku wakivutana sharubu.
Mwisho ukiwanasa kwa kitabu huwa hakina sumu na unaweza ukawabanika kwa chai ya asubuhi na chapati.
Sure sijanunua kitamboSidhani kama bado inapatikana, ilitoweka.
Yani panya waingie kote lkn si kabati la Nguo wanatafuna kidogokidogo kiac kwamba huwez kuivaa tena, ukiweka sumu badilisha chakula kila siku na uangalie sehem wanakoingilia uzibeYameanza kula nguo usiku wa leo! Baada ya kukosa kitu jikoni
Shukrani sana mkuuPole mkuu, nunua hii sumu huchanganyi na kitu chochote, wakila inawakausha ila hakikisha umefunika vyombo vya maji, sababu wakinywa maji inapungua nguvu
Ni Nzuri sanaView attachment 1103573View attachment 1103574