punguzen presha wadogo zngu! hi ndo tz apo bado heslb ujajua una%ngap!! kujachuo so mchzo.Na wale watakao kuja udsm watachiWONA.coz mambo cvo mnavodhan

jaman hapa mwenzenu nmeambiwa watu wamepata selection zao, bt mizinguo kwangu. Airtel hata menu niliyoambiwa haitak kufunguka. Web tcu haionesh jaman! Msaada hapa plz

Airtel baaada ya kuona wa2 wanaoifungua ni wengi pita kiasi wakabidi waitoe admisssion za wa2 so sasa hivi ni kususbiri TCU tu wayatoe katika web yao ...