Wakuu,...Nakaribisha maombi ya wadau wanaoomba kuandikiwa bank proposals, project proposals, business plans, business ideas na ushauri wa kibiashara katika sekta za elimu, jamii, kilimo, afya, mazingira na ufugaji.
Kwa maelekezo zaidi ni PM Tupeane contacts. RilTz