Kuamka ukiwa umechoooka.

Wakuu
Habari wana jf kuamka mwili ukiwa umechoka sana wakati mwingine kama umefanya kazi ngumu sana,inasababishwa na mambo gani kiafya au kimazingira
Natanguliza shukrani
Nitafte nipo Dar, ikiwezekana fika ofisin itakua na maana zaidi 0688462006
 
Swala kubwa ni kwamba unaulisha nini mwili wako? Kama chembechembe hai (body cells) hazikupata virutubisho stahiki, ni kama unaufanya mwili ku over work. Kukamilisha metabolism. Pata virutubisho vya kutosha utaondokana na hili swala.
 
* Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema na hii inatokana na kuamka ghafla usiku ambapo ubongo hukosa damu ya kutosha .*
*Unapoamka katikati ya usiku kwenda kujisaidia haja ndogo mfumo wa damu unakuwa umebadilika.* *Kwa sababu kuamka ghafla,kinakuwa hakuna mzunguko wa kutosha wa damu kwenye ubongo unaosababisha moyo kushindwa kufanya kazi kutokana na ukosefu wa damu.* *Ushauri:tumia dakika 3 na nusu kufanya yafuatayo":*
*1. Unapoamka usingizini lala kitandani kwa nusu dakika ;*
*2. Kaa kitandani kwa takribani nusu dakika;*
*3. Shusha miguu,kaa pembeni ya kitanda takribani nusu dakika.* *Baada ya dakika 3 na nusu hutakuwa na tatizo la ukosedu wa damu kwenye ubongo na moyo kushindwa kufanya kazi inapunguza uwezekano wa vifo vya ghafla na kuanguka ghafla.*
*Shirikisha marafiki na jamaa.* *Inatokea bila kujali umri.*
*kushare ni kujali.Kama tayari ulikuwa unajua hili lichukulie kama kumbukumbu.
Nimeupenda ushauri wako maana mi huwa Alarm na set nusu kabla ya muda wakuondoka hivyo ikilia tu... Ni straight to the bathroom!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom