Privatelife
Member
- Jun 18, 2025
- 28
- 62
Kosa kubwa ni kuamini kwamba unaweza kumbadilisha, kama wazazi wake hawakufanya hivyo , ww hutowezaKosa langu la kwanza kuamini moyo, kwenye Dunia ya mapenzi isiyompa makazi ya kudumu mwanaume asiye na pesa.
Kosa la pili kuishi kimazoea, dhidi ya kiumbe niliyetakiwa kuishi nae kwa akili.
Kosa la tatu niliamini naweza kumtuliza kwa kumjali sana.
Na kufuata maagizo ya jando ninapokuwa nae juu ya kitanda.
Kosa la nne ni kufanya kila jitihada ili nimuaminishe kuwa, mwanaume sahihi hatoki kwenye familia za kitajiri pekee.
Leo narudisha nyuma jeshi la hisia zangu, kwenye vita ya ahadi na jeuri ya matumizi.
Nimeshindwa kuitetea furaha yangu kwa kumbakisha.
KsbisaKufanya kosa siyo kosa ila kurudia kosa ndiyo kosa
HahahahahahahaKidumu chama Cha ma jobless pro max
Hakika kabisa nimejifunzaKosa kubwa ni kuamini kwamba unaweza kumbadilisha, kama wazazi wake hawakufanya hivyo , ww hutoweza
Mara nyingi mtu mzima anabadilika anapotaka au apitie kwenye moto
Msimtishe mwamba ila msisitizeni awe anahudhuria vikao.Pole Sana. Falling in love is for the weak people.. Hiyo ni heading ya uzi nilisoma humu
Trust no one Weeh!
Kabisa
Trust me only sweetheart...Trust no one Weeh!
Ofcoz I do ♥️!!Trust me only sweetheart...