Habari zenu wadau naomba msaada wa kujua mambo mawili.
1. Nahitaji mashine crusher jee kwa hapa bongo zinapatikana na ni bei gani?
2.ikiwa nitaagiza kutoka nje niliyoiona imeandikwa $2000-7000$ hiyo ndio price ya huko.
Jee nitajuaje kama hiyo bei yake na gharama za usafiri hadi naipata au kuna ma agent ambao wanahusika na hizo kazi.