Thabit Karim
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 404
- 830
da hata mimi mizigo yangu imefeliWamesitisha hadi za ndani ya nji jana niliambiwa hivyo nilikuwa posta kuulizia parcel zangu[emoji24]
Wamesitisha hadi za ndani ya nji jana niliambiwa hivyo nilikuwa posta kuulizia parcel zangu[emoji24]
Alinambia mizigo itabaki posta kuu Dar baadaye watasambaza kwenye local post offices[SUB]z[/SUB]
Mimi mwenye mzigo mpaka umefikia mwisho hakuna taarifa yoyote nataka ni file dispute.
Je, wewe ulipata notification yoyote kuwa mzigo wako umefika na vip walikuthibitishia kua mzigo wako umefika ulipo wauliza.
Nauliza hivyo ili nijue wapi pakuanzia maana niliagiza mzigo AliExpress una miezi 2 adi sasa na protection time inaisha Juma tatu 8 Jun. kila niki track naambiwa mzigo upo njiani.
Muuzaji kila nikichat nae yeye kazi yake kunipa moyo tu kua mzigo utafika.
Ali Express nilikaaa miezi mitatu nikakata tamaa kuwa mzigo siwez pata,nikaja tumiwa sms na posta nikauchukue!!!
Hadi sasa bado pasua kichwa.Duuuh kweli noma, ulikua uki track wanasemaje?
Zama hizi ukijiripua yabidi uwe na moyo wa chuma kusubiria miezi 3-4 maana delays zimekuwa nyingi mno.Mimi mwenye mzigo mpaka umefikia mwisho hakuna taarifa yoyote nataka ni file dispute.
Hadi sasa bado pasua kichwa.
Mi niliagiza iķapita mieźi 2 unaambiwa mzigo upo ontransit hakuna new updates nikaona upuuzi tu wakanirefund mchezo ukaishia hapo
3 days hela iliruudi.Walitumia mda gani kukulipa tokea ulivyotoa malalamiko yako, ata mimi nafikilia ku open dispute hapo juma3
Posta wanasafirisha kwa ndege za abiria wakati DHL ndege za mizigo ndo maana huduma zao zaendelea ingawa ni ghari mno ukiringanisha na wenzao wa postaPosta nafikiri kuna shida .DHl wanaleta na kutuma Wajaribu
TRA vip huko DHL?Zama hizi ukijiripua yabidi uwe na moyo wa chuma kusubiria miezi 3-4 maana delays zimekuwa nyingi mno.
Kama ni bidhaa muhimu ya thamani Labda utumie DHL ndio utakufikia bila matata.
Boss vip ulipataje maana mimi kuna chanamoto kwa nmb bank3 days hela iliruudi.
Ila yategemea na msimamo wa seller maana wengine ving'ang'anizi so hadi AE wastep in yaweza fika 7-10 days
Hapo ndio nyumbani kwao,lazima wakukamue vilivyo.TRA vip huko DHL?