Kuagiza bidhaa nje kupitia Posta

Kuagiza bidhaa nje kupitia Posta

Thabit Karim

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
402
Reaction score
823
Naomba kuuliza posta wanapokea parcel kutoka nje ya nchi au wamesitisha kutokana na covid 19?

Nataka ninunue baadhi ya vitu kutoka nje ya nchi.
 
Alinambia mizigo itabaki posta kuu Dar baadaye watasambaza kwenye local post offices[SUB]z[/SUB]
 
Je, wewe ulipata notification yoyote kuwa mzigo wako umefika na vip walikuthibitishia kua mzigo wako umefika ulipo wauliza.

Nauliza hivyo ili nijue wapi pakuanzia maana niliagiza mzigo AliExpress una miezi 2 adi sasa na protection time inaisha Juma tatu 8 Jun. kila niki track naambiwa mzigo upo njiani.

Muuzaji kila nikichat nae yeye kazi yake kunipa moyo tu kua mzigo utafika.
 
Mimi mwenye mzigo mpaka umefikia mwisho hakuna taarifa yoyote nataka ni file dispute.
 
Ata mimi pia nafikilia hivyo maana unaweza ukaamini mzigo upo posta mwisho wa siku posta wakakukataa, ni bora posta wangethibitisha kuwa mzigo umefika ila hautaupata kwa sasa apo mtu unaweza kuvumilia.
 
Je, wewe ulipata notification yoyote kuwa mzigo wako umefika na vip walikuthibitishia kua mzigo wako umefika ulipo wauliza.

Nauliza hivyo ili nijue wapi pakuanzia maana niliagiza mzigo AliExpress una miezi 2 adi sasa na protection time inaisha Juma tatu 8 Jun. kila niki track naambiwa mzigo upo njiani.

Muuzaji kila nikichat nae yeye kazi yake kunipa moyo tu kua mzigo utafika.

Ali Express nilikaaa miezi mitatu nikakata tamaa kuwa mzigo siwez pata,nikaja tumiwa sms na posta nikauchukue!!!
 
Duuuh kweli noma, ulikua uki track wanasemaje?
Hadi sasa bado pasua kichwa.
Mi niliagiza iķapita mieźi 2 unaambiwa mzigo upo ontransit hakuna new updates nikaona upuuzi tu wakanirefund mchezo ukaishia hapo
 
Mimi mwenye mzigo mpaka umefikia mwisho hakuna taarifa yoyote nataka ni file dispute.
Zama hizi ukijiripua yabidi uwe na moyo wa chuma kusubiria miezi 3-4 maana delays zimekuwa nyingi mno.
Kama ni bidhaa muhimu ya thamani Labda utumie DHL ndio utakufikia bila matata.
 
Hadi sasa bado pasua kichwa.
Mi niliagiza iķapita mieźi 2 unaambiwa mzigo upo ontransit hakuna new updates nikaona upuuzi tu wakanirefund mchezo ukaishia hapo

Walitumia mda gani kukulipa tokea ulivyotoa malalamiko yako, ata mimi nafikilia ku open dispute hapo juma3
 
3 days hela iliruudi.
Ila yategemea na msimamo wa seller maana wengine ving'ang'anizi so hadi AE wastep in yaweza fika 7-10 days
 
Posta nafikiri kuna shida .DHl wanaleta na kutuma Wajaribu
 
Posta wanasafirisha kwa ndege za abiria wakati DHL ndege za mizigo ndo maana huduma zao zaendelea ingawa ni ghari mno ukiringanisha na wenzao wa posta
 
Zama hizi ukijiripua yabidi uwe na moyo wa chuma kusubiria miezi 3-4 maana delays zimekuwa nyingi mno.
Kama ni bidhaa muhimu ya thamani Labda utumie DHL ndio utakufikia bila matata.
TRA vip huko DHL?
 
3 days hela iliruudi.
Ila yategemea na msimamo wa seller maana wengine ving'ang'anizi so hadi AE wastep in yaweza fika 7-10 days
Boss vip ulipataje maana mimi kuna chanamoto kwa nmb bank
 
Back
Top Bottom