mzungukiyungu
New Member
- Nov 3, 2018
- 4
- 1
Fanya yafuatayo.Nitafanya na biashara ya kuagiza machine kutoka china itakuwa salama? Machine nimezipata kwenye tovuti ya alibaba.com
Mkuu Mwl RCT Kuna mashine ndogo inaitwa ROTIMATICundefined (ROTI MAKER)huko Alibaba naomba kufahamu Hadi inanifikia Dodoma gharama zoote itakuwa kiasi gani tafadhaliFanya yafuatayo.undefined#1. Tumia njia ya malipo kulingana na taratibu za alibaba: https://service.alibaba.com/buyer/faq_detail/20155203.htmundefined#2. Mzigo utasafirishwa na kufika bandari Dar.undefined#3. Agent wako atashugulikia taratibu zote za clearance, uwe tayari kulipia tozo za kodi/ vat, utajulishwa ni kiasi gani wakati wa clearanceundefinedNjia mbadala- Waweza kunitumia mimi kukununulia + kukusafirishia + kufanya clearance na kukutumia mahala ulipo ( kama upo mkoani)- Pitia baadhi ya maoni ya wadau ambao tayari wamepata huduma kwangu fuata hii link: www.bit.ly/101buy4meundefinedKaribu
Mmmh
Unaguna nini mbona jamaa kamjibu vizuri sana
Yeah itakua ngoja ajifunze kwanzaHapo mwenzio ashahisi Kutapeliwa...nahisi atakua mgeni wa JF huyu Jamaa.
Alibaba wanuza vitu kwa jumla au unamaanisha aliexpress?Napenda kupata muongozo. Nimeotaji kununua machine ya kuchania mbao kutoka china. Sasa sijaelewa vyema ni kwa namna gani fedha zangu zitakuwa salama. Kwenye hii biashara ili niwe na uhakika wa kuupata mzigo ninaotaka kuulipia. Nipeni mwongozo ni kwa namna gani? Nitafanya na biashara ya kuagiza machine kutoka china itakuwa salama? Machine nimezipata kwenye tovuti ya alibaba.com
Umeipata kwa bei gani mkuu?Hii machine ndio nataka kuinunua. Sasa usalama wa kwamba nikillipia nitapata upo vip? Kwa mlio na uzoefu tafadhaliView attachment 1174945
Wanafanya Aircargo pia? If yes naomba contact zaoUnaweza pia kuwaona unique cargo ni mawakala wa mzigo china na tanzania ofsi zao zipo kariakoo mtaa wa pemba na livingstone na china ziko gudongang provide guanzou
Meli zinapiga kazi, ndege ndio bado hazijachanganya.Hivi mizigo imeanza kufika sikuiz ama bado?