No way mwanaume unamkuta analia wakati wa kumwaga mpenzi wake, ni kweli it emotion lakini sifa kubwa ya mwanaume aliyekamilika ni kuweza kujizuia (control). Haya ndo yale yanasikia sexual feelings kwenye mabasi yanachafua wadada au yanabaka. Ukitafuta sana utakuta haya wakati wa kutahiriwa yalishikwa na mama zao huku dokta anakata.
Mwanaume wa kweli mpaka uone chozi lake ni ishu. Nawapenda sana wachaga wanasema mwanaume ni mbavu za chuma. Nonsense.