Kuadimika kwa mafuta: Hivi kuna mgomo....? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuadimika kwa mafuta: Hivi kuna mgomo....?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by killo, Nov 7, 2011.

 1. killo

  killo JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 393
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Wana jamii forum habari za usubuhi,

  Naomba kuuliza hivi kuna mgomo wa mafuta ya gari... so far nimepita viuo takribani saba na vyote wanasema hakuna mafuta... to be precise; bamaga ya tbc, oilcom sayansi, oilcom victoria, victoria petrol station, total moroko na gapco mbili za ST. Peter, wote hao hawana mafuta kweli linawezekana hili..?

  Ni hilo tu, kama nikipata ufafanuzi nitashukuru
  siku njema
   
 2. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Inawezekana wababe wamelianzisha tena!!. tutajua tu.
   
 3. G

  Godwine JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kupunguza msongamano wa magari wakati wa ujio wa mtoto wa mfalme na pia kuwezesha ulinzi wa mtoto wa mfalme na mji upendeze wakati akiwa humu, kwani yeye hataki msongamano wa magari
   
 4. D

  Daz_k Member

  #4
  Nov 7, 2011
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nilizunguka vituo kibao,hawauzi petrol..nikabahatika Mwanamboka Kinondoni.
   
 5. Zinedine

  Zinedine JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,189
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwani wangetoa amri ya kutotoka nje na kutoenda kazini msongamano usingelipungua
   
 6. killo

  killo JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 393
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  updates; so far nimefanikiwa kupata petrol - GBP sinza mori
   
 7. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,892
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  haya mawazo yanaanzaga kama utani lakini kama wengi wanavyosema, 'Tanzania ni zaidi ya unavyoijua'. Yawezekana ngoja tusubiri
   
 8. Biz2geza

  Biz2geza Senior Member

  #8
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  "Wanayo mafuta wanasikilizia bei mpya ambayo inaanza kutumika leo petroli 2043 na Diseli 1983 ambazo zinatakiwa kuanza kutumika leo J3".ila ilikupotezea wanaweza jifanya hawa mafuta till jioni ili wasishtukiwe.Mkuu Lake oil ile ya njia panda ya mabibo wanayo mafuta.
   
 9. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Wanasema meli haijapakua mafuta bado. Nyambafuuu
   
 10. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Nchi hii bwana, eti nayo ina serikali na mkuu wa serikali nae yupo.
  Pambaf kabisa.
   
 11. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  shamba la bibi hili kila mtu anachuma atakavyo
   
 12. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #12
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nasikia ma'don wa mafuta wamegoma leo. Shida nini?
   
 13. killo

  killo JF-Expert Member

  #13
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 393
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  mi nimeshachoka upumbavu...!!! watu wanpewa vibali kufanya biashara kwa khtoa huduma kwa jamii alafu wanaleta ujinga na migomo isiokuwa na msingi... kwani kuna siku ewura ilitangaza bei mpya na wanainchi wakagpma kweli.?? sasa nini sababu ya yoote haya..? adha ya leo asubuhi mungu nisamehe maana kama ingekuwa ni amri yangu nadhani tungekuwa tunazungumzia mengi mana ningefutia license garages zote zilizoleta mgomo baridi....
   
Loading...